Anatakiwa Kinyozi Mwenye Uzoefu wa Kunyoa Kiduku Haraka. Vifaa Vyote vya Kazi Vipo. Lete Maombi Yako Haraka. Hii ni Kazi ya Kudumu na Mshahara Mzuri Pamoja na Marupurupu Kibao Yatatolewa !!!