Tangazo Muhimu: Blog Hii Haitakuwa Hewani kwa Mwezi Mzima Kuanzia Tarehe 23 Juni Mpaka Tarehe 23 Julai 2017.

Yes...
Hatutakuwa hewani kuanzia Juni 23 Mpaka Julai 23 2017.
Msighafirike.
Tutarudi tu - tena pengine vizuri zaidi...



Kama kuna mtu ambaye atakuwa na shida na mimi email yangu ni ile ile:

Nancymitikisiko@gmail.com.


Mwenye mapicha, mavideo ya kikwetu na mambo mengine (isipokuwa kutafutiwa wanawake) please wasiliana nami hapo. Na ukiniandikia kuniuliza eti mbona blog haipatikani wakati tangazo lipo hapa basi nitakutukana tu kwa sababu hakuna namna.

Thanks for Everything na tutaonana tena....