Nancy; Nasikia Huyu Binti Yuko Huko Kisumu na Huwa Anakuja Bongo. Kwa Anayemfahamu Naomba Anisaidie Contacts Zake. Naweza Kumuoa Mara Moja kwa Sababu Haya Mauno Yamenichanganya. Na Ngozi Yake Natural Beauty Hakuna cha Mkorogo na Ujinga Mwingine. Ni Mzuri Kupindukia !!!

Mdau, wamekusikia na bila shaka watakusaidia. 
 Mauno yamekudatisha eeeeh...

 
N